BREAKING NEWS !! MAGUFULI APANGUA MAKATIBU WAKUU; PROF. KITILA MKUMBO KATIBU MKUU MPYA MAJI NA UMWAGILIAJI !!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amefanya mabadiliko madogo katika safu ya Makatibu Wakuu wa Wizara mbali mbali na kumteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Katibu Mkuu mpya Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kuwahamisha wengine.
Kwa mujibu wa Taarifa rasmi iliyosainiwa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu mabadiliko haya yanaanza mara moja na wateule wapya wataapishwa kesho Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment