“Nawapa Polisi wiki mbili, yaani siku 14, ndani ya wiki hizo mbili kuturuhusu kufanya sisi kwenda kufanya usafi na ikiwezekana watusindikize, kama hawataweza basi wazifunge Ofisi hizo zisitumiwe na mtu yeyote,” amesema Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea.
Hata hivyo, Mbunge huyo amesema kuwa kama wangeenda kufanya usafi na wakakuta watu ambao wasinge wapa ushirikiano basi nao wange wahesabu ni takataka hivyo wangelazimika kuwaondoa