DKT. SHEIN AKILAKIWA NA WATENDAJI MBALI MBALI WA SERIKALI YA ZANZIBAR WAKATII ALIPOWASILI KISIWANI PEMBA KWA ZIARA MAALUM YA KIKAZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Do.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili uwanja wa Karume Pemba leo kwa ziara maalum. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Do.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo kwa ziara maalum akiwa na ujumbe aliofuatana nao,(Picha na Ikulu) 02/04/2017

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search