KAMA ULIPITWA NA AHADI YA MKUU WA MKOA NDUGU PAUL MAKONDA YA KUMPATA ROMA NDANI YA MDA MFUPI MSIKILIZE HAPA

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameoneshwa kusikitishwa sana na kupotea kwa msanii Roma Mkatoliki na kuahidi kuwa atahakikisha anampata kabla ya Jumatatu.

Ameongea hayo kwa baadhi ya waandishi wa habari waliomfuata ofisini kwake na kutaka kujua kuhusu msimamo wake juu ya hili swala msikilize hapa chini.

Source: Jamiiforum


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search