Kama ulipitwa na hii ya Mchungaji Gwajima kumtaka Halima Mdee kuomba msamaha.. Isikie hapa


Mambo matatu aliyoyaongea Askofu Gwajima leo kanisani kwake   ni pamoja swala la Mbunge wa Kawe Halima Mdee kutumia lugha isiyostahili kwa Spika wa Bunge, Askofu Gwajima amesema ili Tanzania iende sawa lazima Halima aombe msamaha.


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search