LIVE !! MTIFUANO BUNGENI - UCHAGUZI WA BUNGE LA AFRICA MASHARIKI (EALA)
Kumekuwa na majibizano makali ya hoja kati ya pande mbili bungeni
jioni hii juu ya uhalali wa baadhi ya wagombea walioteuliwa na msimamizi wa
Uchagugi wa Bunge la Africa Mashariki kutokana na kuwepo kwa mashauri
Mahakamani juu ya uhalali wa vyama vyao, ambapo utata ulimalizwa kwa kusomwa
miongozo kutoka Tume ya Uchaguzi ambao ndio Washauri wakuu wa sifa za Wagombea.
usikose kufuatilia
mubashara yanayoendelea bungeni kupitilia kiunganishi chako www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com
No comments:
Post a Comment