MAFUTA YA ALIZETI 'SAFI' TFDA YATOLEA UFAFANUZI HABARI ZILIZOENEA KUHUSU CHEMBE CHEMBE HATARISHI !
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), imewatoa wasiwasi watumiaji wa Mafuta ya Alizeti kuwa hayana madhara kama inavyozushwa.
Uchambuzi huo umebaini kuwa utafiti huo ulihusu mbegu za alizeti na mashudu pekee hivyo hautoshelezi kuthibitisha kuwa mafuta ya Alizeti yanachafuliwa na Aflatoxins kwa kiwango hatarishi.




No comments:
Post a Comment