Baada ya wadau mbalimbali kupinga wazo la kuchezeshwa kwa droo ya kuupata uwanja wa kucheza fainali ya ASFC kati ya Simba SC na Mbao FC , TFF yafanya maamuzi ya kuupeleka mchezo huo katika dimba la Jamhuri mkoani Dodoma may 28.
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment