FIFA yasema Uhamisho wa Pogba ‘wizi mtupu’
Chama cha soka Ulimwenguni yaani FIFA hii kimeitisha na
kupitia stakabadhi zote za uhamisho na kuthibitisha suala la usajili la Paul
Pogba kutoka Juventus kwenda Man Utd majira ya joto mwaka jana kwa ada ya
uamisho ya paund million 89 lilikuwa na taarifa nying za Udanganyifu kwenye
suala zima la usajili.
FIFA imesema leo kuwa uchunguzi unaendelea na ukikamilika
na kubainika kuna njama zozote zilizofanywa na MAN UTD haitasita kuishushia ‘Panga
Kali’ klabu hiyo likiwemo la kufungiwa kufanya usajili mpya wa wachezaji.
No comments:
Post a Comment