Wizara yakanusha Taarifa iliyoenea kuhusu Uhakiki wa Vyeti kwa Taasisi za Elimu ya Juu Nchini.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekanusha vikali uvumi ulioenea mtandaoni kuhusu kilichotajwa kuwa ni Takwimu za Uhakiki na matokeo yake kwa Taasisi za Elimu ya ju Nchini.
Katika taarifa rasmi iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Akwilapo na kusambazwa jioni hii, Wizara iwewatahadharisha wananchi juu ya kutumia mitandao ya kijamii kusambaza taarifa za uzushi zinazosababisha usumbufu kwa jamii.
Nimekuekea Taarifa rasmi ya Wizara hapa chini..
Fuatana nasi...
No comments:
Post a Comment