Breaking News!! JPM aridhia Jaji Malecela wa Mahakama Kuu kujiuzulu.. Obasanjo nae asema "Magufuli safii !!"
Rais Mstaafu wa Nigeria Generali Olusegun Obasanjo ametua Ikulu Jijini Dar es Salaam na kumwaga sifa 'kedekede' kwa Mhe. Rais John Pombe Magufuli, kwa utendaji wake kazi na kuipaisha Tanzania kiuchumi.. na kuifanya yake mfano bora wa kuigwa barani Afrika.
Katika hatua nyengine, rais Magufuli ameridhia ombi la Mhe. Mwendwa Judith Malecela, Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania kujiuzulu wadhifa wake kuanzia leo 20/06/2017.
Matukio blog inakusogezea waraka kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam, usipitwe na yanayojiri..

No comments:
Post a Comment