Breaking News!! Ripoti ya Pili 'Mchanga wa Dhahabu' yaiva #Share.. Itakabidhiwa J'tatu..
Kuna Taarifa ya kukamilika kwa 'Ripoti ya Pili' ya Mchanga wa Madini iliyojumuisha Wanasheria na Wachumi kufuatilia thamani ya Madini yaliyomo kwenye Mchanga wa Madini unaosafirishwa, sambamba na ile ya kwanza iliyogeuka kuwa chungu na kupelekea Waziri muhusika Profesa Muhongo kupoteza nafasi yake ya uwaziri!
Kwa mujibu ya taarifa kutoka Ikulu Ripoti hiyo itawasilishwa siku ya J'tatu tarehe 12/6/2017 na imewakaribisha wananchi kufuatilia moja kwa moja tukio hilo likalorushwa na Televisheni kutokea Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment