Burudani.. Je ni kweli Msanii Wolper kapata mrithi wa Harmonize ?? aibuka social media na 'post tata..'

Ni wazi msanii wa filamu Bongo, Jackline Wolper huenda amepata mrithi wa aliyekuwa mpenzi wake Harmonize. 

Wolper baada ya kuachana na msanii huyo wa muziki kutoka lebo ya WCB amekuwa akipost katika mtandao wa kijamii wa Instagram kuonesha kuwa "she is moving on..."

Usiku wa jana mrembo huyo aliandika katika mtandao huo wenye watumiaji wengi zaidi duniani kuhusu mapenzi jambo liliwafanya mshabiki zake kuhisi huwenda bibie amepata mpenzi mpya.
“Mapenzi ni nini kwani ? aliuliza Walper.. Keisha aka endelea kutiririka.. "pamoja na yote lkn m2 unarudi pale pale haya mambo hayajawahi kumuacha mtu Salama wallahi.. basi natamani kupost ata kifua Nashindwa naogopa  #why? Why?,” akafunga post yake Wolper...


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search