Magazetini Leo 30/06/2017: Malinzi wa TFF yuleee 'na timu yake,..' watakaa 'selo' hadi tarehe 13/July #share.. Makinikia ni 'shidaa.. Serikali yapeleka Bungeni 'Mswada mzito' wa Madini..

Lowasa akomaa na Msimamo; asema Gurudumu la Demokrasia halizuiliki.. Majaliwa asema hakuna msamaha kwa 'manyangumi wa Madawa ya kulevya' Kiini Mauaji ya Kibiti kujulikana Leo .. Mimba Mashuleni; NGO's 'zamvimbia Mwigulu,..' Polepole yeye aja na tamko.. 































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search