Rushwa yatibua uchaguzi CCM...soma habari kamili na matukio360..#share
Na mwandishi wetu
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefuta mchakato wa kura ya maoni uliofanyika katika jimbo la Singida kaskazini kutokana na baadhi ya wagombea kujihusisha na vitendo vya rushwa.
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefuta mchakato wa kura ya maoni uliofanyika katika jimbo la Singida kaskazini kutokana na baadhi ya wagombea kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Taarifa iliyotolewa jioni hii na Katibu wa Nec-Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole inasema kutokana na hali hiyo Haider Gulamali na Elia Mlangi wamezuiwa kugombea nafasi hiyo kutokana na kutuhumiwa kujihusisha na rushwa
![]() |
Ongeza kichwa |
No comments:
Post a Comment