Kutoka maktaba: Mnyika moto,... Lema nae motooo, moto.. #share ni baada ya 'Makinikia kuleta shidaa.. lazima miswada kuhusu madini ipitiwe upyaa !!!'

Si Madini tu, na suala la Kibiti pia likawa 'nongwa'.. 'Eti kama hamjisikii kuwa na upinzani futeni basi mbakie wenyewe humu,..'

Ndipo mara Waziri mwenye dhamana Mhe Mwiguli akaibuka,.. 'nae moto..' kwa maoni haya ya Mhe. Mnyika wanaweza kuhitajka kuisaidia polisi... 

Mwikgulu akakataa katakata kwamba Serikali haifanyi ipasavyo kuhusiana na mauaji ya Kibiti...

Bravo 'Mhe Mwigulu, tumeyaona.. Bravo 'Kanda Maalum ya Rufiji...' Bravo 'IGP Sirro..' Matokeo tumeanza kuyaona !!

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search