Magazetini Leo 01/07/2017: World Bank 'yatia mguu' Mimba Mashuleni,.. Spika Ndugai 'ang'aka..' #share.. asisitiza Mdee, Bulaya.. 'hawakanyagi mwaka mzima Bungeni..'

Lissu 'ashtukia' njama za kuinyamazisha TLS.. IGP Sirro aja na Kanda Maalum - Rufiji.. yaanza na wahalifu 4,.. 'Miswada Ncha Kali yawasha moto Bungeni',..  Chungu na Tamu ya Bajeti kuanza kuonekana leo..  na katika Michezo... sakata la kina Malinzi wa TFF kutua FIFF



























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search