Magazetini Leo 10/6/2017: Soma kuu zifuatazo.. Wataalamu waichambua Bajeti, Mbowe asema ni 'changa la macho'.. #SHARE

Rufiji kwatifuka sasa wapiga risasi na kuondoka na 'majeruhi'; EWURA yakanusha kuipa 'leseni' IPTL.. 96,000 kujiunga kidato cha tano mwaka huu. 'pedeshee Ndama ahukumiwa faini milioni 200.. na katka Michezo 'Tuiombee Taifa Stars ikipambana na Lesotho Leo.. na 'dau nono' lawang'oa Ajibu, Mkude..






























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search