Magazetini Leo 17/06/2017: Soma kuu zifuatazo.. Dude la Makinikia sasa kuimaliza CCM,.. Wabunge wake, Mawaziri wadaiwa kuvuna Mamilioni.. #share.. JK amtembelea Kardinali Pengo..
LOWASA alitingisha tena Bunge Mjini Dodoma.. Taharuki yatanda Bunge la EALA lashindwa kuanza kazi.. kufungiwa Mawio kwaamsha hasira/hisia.. Na njia ya Muafaka Acacia/Tanzania bado ndefu sana.. na katika Burudani.. Ona kivuli cha 'usaliti' kinavyowatafuna Zari na Diamond Platnumz.. Hanspope amalizana na Okwii Kampala,.. Bossou aambiwa baki umshikishe adabu...
No comments:
Post a Comment