Sakata la Makinikia leo limewainua Chadema.. ona hapa walivyofunguka live..

Ndugu msomaji wa Matukio blog.. leo Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kiliitisha mkutano wa Waandishi wa Habari kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea Nchini mwetu kwa sasa.

Katika press hiyo ya leo, suala zima la 'Makenikia' ambalo limekuwa moto kwenye headlines, lilipewa kipaumbele kuliko mengineyo.

Kama ulipitwa, na live coverage basi hujachelewa.. fuatana nami hapa nimekukusanyia kilichoongelewa mwanzo mwisho kwa msaada wa global tv...


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search