Magazetini leo 20/06/2017: Soma Kuu zifuatazo.. Dude la IPTL limeamshwa, Rugemalila, Harbinder Singh KIZIMBANI.. #share Majaribu, Kamishna Sianga atishiwa kuuawa..

Nape 'aunguruma Bungeni' asema JPM si wa kwanza; ataka Mkapa,JK wasipuuzwe... Meya Jacob wa Chadema 'mikononi mwa Polisi', Maazimio sita ya Bunge yalivyowaponza  Vigogo wa IPTL.. Walemavu wamng'ang'ania IGP Sirro.. Taharuki kuu yawakumba 'wawekezaji' wapya Vodacom; safari  yao ya 'matumaini' kuelekea DSE bado kitendawili.. na katika michezo Ali Mayay Tembele 'atinga TFF kiaina'..




























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search