News Alert !! Hivi ndivyo viwanda vitano (5) vikubwa atakavyozindua JPM akianza ziara Mkoa wa Pwani leo.. #share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, leo J'nne tarehe 20/06/2017 anaanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Pwani.
Taarifa rasmi iliyopatikana kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam, katika ziara hiyo Mhe. Rais atapata fursa ya kuzindua viwanda vikubwa vitano pamoja na mradi mkubwa wa maji.
Matukio blog tumekuwekea taarifa rasmi ya Ikulu kama tulivyoipokea.. fuatana nasi.

No comments:
Post a Comment