Morning top news !! Makaburi kupisha Ujenzi wa Barabara Mwanza, Usipolipa Kodi ya Jengo leo.. Faini 75,000 #share Mwigulu ataka Mnyika 'achunge' kauli zake..

Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba amewaasa Mbunge John Mnyika na Mhe. Lema kuchunga kauli zao wanapoongelea swala zima la mauaji ya kibiti kwani wanaweza kuhitajika kuisaidia polisi.
Akitoa maoni yake baada ya Wabunge hao kuchangia hoja Bungeni, Mhe. Mwigulu alimuuliza Mnyika ampe idadi ya wahalifu waliobakia kama kweli anaamini Jeshi la Polisi halifanyi kazi zake kudhibti hali ya kibiti..
Akitoa maoni yake baada ya Wabunge hao kuchangia hoja Bungeni, Mhe. Mwigulu alimuuliza Mnyika ampe idadi ya wahalifu waliobakia kama kweli anaamini Jeshi la Polisi halifanyi kazi zake kudhibti hali ya kibiti..
Waziri Mwigulu Nchemba awataka wabunge Lema na Mnyika kuwa makini wakizungumzia suala la Kibiti kwani wanaweza kuchukuliwa kuisaidia Polisi. pic.twitter.com/FNlGzb0a0b— Swahili Times (@swahilitimes) June 30, 2017
TRA imesema kuwa, watakaoshindwa kulipwa kodi ya majengo ambayo mwisho ni leo Juni 30, 2017 watatozwa faini ya Tsh 75,000- HT @ MWANANCHI pic.twitter.com/rpvcndakR7— Swahili Times (@swahilitimes) June 30, 2017
"Wazazi wote nchini endeleeni kufuatilia nyendo za watoto ili wasijiingize kwenye mtego wa dawa za kulevya" Waziri Mkuu @majaliwa_kassim pic.twitter.com/bXRMLLfD14— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) June 29, 2017
Malinzi na Kaburu hawatoweza kugombea katika uchaguzi mkuu wa TFF kwani hawatashiriki usaili wa wagombea unaoisha kesho sababu wapo rumande. pic.twitter.com/KNwfNqyowL— Swahili Times (@swahilitimes) June 30, 2017
UGANDA: Mwanamuziki Robert Kyagulanyi "Bobi Wine" ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika jimbo la Kyadondo Mashariki#JFLeo pic.twitter.com/Bv2dTlVVwz— Jamii Forums (@JamiiForums) June 30, 2017
Unapokuwa msemaji wa Chama ambacho kazi yake ni kupongeza watekelezao badala ya kuongoza ujue hakuna Chama bali kuna mashine ya uchaguzi tu pic.twitter.com/dnWjB5pUT7— Taifa Kwanza ✋ (@ACTwazalendo) June 29, 2017
Diwani wa Kata ya Muriet, Arusha (CHADEMA), Credo Kifukwe amejiuzulu nafasi yake na kusema kuwa anamuunga mkono Rais Dkt @MagufuliJP pic.twitter.com/bqzIPstpEK— Swahili Times (@swahilitimes) June 30, 2017
Wito wa wadau kutoa maoni juu Miswada ya sheria za ulindaji wa rasilimali za nchi pic.twitter.com/drZPY65KHV— Bunge la Tanzania (@bunge_tz) June 29, 2017
TANESCO yatoa taarifa kwa wateja wake. pic.twitter.com/u6nR9XEzyv— DJChoka UpDATES (@DJChokaUpDates) June 29, 2017
#MWANASPOTI katika kurasa za mbele na nyuma. pic.twitter.com/9eBH7xqIBX— millard ayo (@millardayo) June 30, 2017
Mwekezaji mkoani Morogoro aishauri serikali kuunganisha taasisi zinazoshabihiana kimajukumu ili kupunguza mzigo kwa wawekezaji- THE CITIZEN pic.twitter.com/5shT5ESKlh— Swahili Times (@swahilitimes) June 30, 2017
Rais Donald Trump wiki ijayo atakutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika mkutano wa nchi 20 zilizoendelea zaidi kiuchumi duniani (G20) pic.twitter.com/HAwVsitSCq— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) June 30, 2017
Raia wa mataifa 6 ya Kiislamu na wakimbizi watakabiliwa na masharti magumu ya kuingia Marekani baada ya marufuku ya Rais Trump kupitishwa. pic.twitter.com/ODDSlQFD7R— millard ayo (@millardayo) June 30, 2017
Airport security officer sues after losing job for making Matiang'i queuehttps://t.co/VmZgSJsS8z— The Standard Digital (@StandardKenya) June 30, 2017
^EK pic.twitter.com/prnbpWSD1W
Waziri Mkuu apigilia msumari suala la chakula kutoka nje - https://t.co/rKhbyHKyiQ pic.twitter.com/CB7yemuSXg— bongo5.com (@bongofive) June 30, 2017
No comments:
Post a Comment