News: Waziri Mkuu Majaliwa azindua shughuli za Usambazaji Vifaa vya Kufundishia Sayansi !
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia Mtoto wa Darasa la asaba Uhuru Mchanganyiko Mariana Alex Mwenye ulemavu wa macho , anavyo weza kuandika kwakutumia mashine maalumu ya kuandika , June 6 2017 Waziri Mkuu alikabidhi vifaa vya Kujifunzia katika shule mbali mbali hapa Nchini Shughuli hiyo imefanyika Jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijaribu kuandika kwakutumia kifaa maalumu chakujifunzia kuandika watoto wenyeulemavu wa Macho 6 june2017, Kulia kwa Waziri Mkuu ni Waziri wa Elimu na Sayansi Profesa Joyce Ndalichako, Waziri Mkuu alikabidhi vifaa vya Kujifunzia katika shule mbali mbali hapa Nchini Shughuli hiyo imefanyika Jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ofisa wa Banki ya Dunia anayeshughulikia Elimu nchini Tanzania Bibi Cornelia J esse , katikati ni Ofisa wa Ubalozi Swiden Nchini Tanzania anayeshughulikia Elimu Bibi Helena Reutersward , maofisa hao walishiriki katika Uzinduzi wa Usambaziji vifaa vya kufundishia Masomo ya Sansi Shughuli hiyo ilifanyika 6june2017 katika Viwanja vya Jeshi Lugalo Dar es salaam
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment