Nyama ya 'Kitimoto' yaleta shida huko Dodoma.. #SHARE Manispaa wasema kuna 'mlipuko' !!

Manispaa ya Dodoma ambapo ndipo yalipo Makao Makuu ya Nchi, imetoa tahadhari kwa walaji na wauzaji wa nyama ya Nguruwe, almaarufu kama kitimoto.
Akitangaza tahadhari maalum kupitia taarifa rasmi aliyoisaini yeye mwenyewe, Afisa Habari wa Manispaa hiyo Bw. Ramadhani Juma, amesema kwa sasa kumebainika uwepo wa ugonjwa unaotambulika kitaalamu kama 'Homa ya Nguruwe', hivyo shuguli yoyote inayohusu biashara ya kitimoto na jamii zake lazima ifanywe kwa kibali maalum cha Manispaa.
Afisa Habari huyo alimalizia kwa kuwataja wanyama wengine wanaohusika na 'marukuku' hiyo kuwa ni pamoja na ngiri na nguruwe pori.
Matukio blog imefanikiwa kunasa taarifa rasmi ya Manispaa na kukuletea kwenye ukurasa huu.
![]() |
aina ya kitimoto wanaopatikana nchi za baridi ! |
Afisa Habari huyo alimalizia kwa kuwataja wanyama wengine wanaohusika na 'marukuku' hiyo kuwa ni pamoja na ngiri na nguruwe pori.
Matukio blog imefanikiwa kunasa taarifa rasmi ya Manispaa na kukuletea kwenye ukurasa huu.
No comments:
Post a Comment