PolePole acharukia 'mapapa wanaokitafuna Chama' awaambia vijana wasiwachague.. #share

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kutowachagua viongozi wanaotafuna mali za chama hicho kwa maslahi binafsi.


Akizungumza na vijana wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho. Humphrey Polepole amesema wako viongozi wa chama hicho wenye tabia ya minyoo na kupe."Wapigeni chini viongozi wenye tabia za kupe kwani ndiyo wanaokiua chama" amesema.

Amesema viongozi wa aina hiyo siku zao zinahesabika kwa kuwa wamesababisha wanachama kukichukia chama chao.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search