Magazetini Leo 19/06/2017: Soma kuu Zifuatazo.. Kamishna Sianga 'aliamsha Dude..' akurupua shehena ya 'dhahabu feki'.. #share 'kalizwa mtu' 1.3 billion..
'Manyanyaso kwa Mbowe' Chadema wajipanga.. wasema sasa basi..!, Warioba asema 'Makinikia' yasitugawanye.. Hali si shwari mgodi wa North Mara.. Mhariri wa Mawio 'atishiwa kuuawa'.. Barrick yakumbwa na kashfa nyengine nzito.. na Familia ya Ndesamburo yacharukia uvumi kuhusu michango ya Rambirambi.. na Katika Michezo.. Niyonzima 'amalizana' na Simba!!

































No comments:
Post a Comment