TANZIA!! JPM Amuomboleza Dkt. Tonia Kandiero wa AfDB,.. #share,.. "ametusaidia kufanikisha ujenzi wa Madara, Barabara... na Miradi mingine.."
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametuma Salaam za Rambi-rambi kufuatia kifo cha ghafla cha Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)Kanda ya Afrika Kusini Dkt. Tonia Kandiero.
Kabla ya Wadhifa wake wa sasa, Dkt. Kadiero aliwahi pia kuwa Mwakilishi wa AfDB Tanzania.
Dkt Magufuli amemuelezea Kandiero kama mchapakazi hodari aliefanikisha Miradi mingi ya Barabara na Madaraja Nchini mwetu..

No comments:
Post a Comment