Top 10 News!! Kauli ya Majaliwa kuzuia Mahindi Nje ya Nchi yawagonga Vichwa Kenya,.. Watanzania 500 Wafukuzwa kajiado.. #share
Tanzania enforces ban on maize exportation to neighbouring East African countries #Worldview https://t.co/sv3aRyMyBp pic.twitter.com/ao5GPVM64m— KTN News (@KTNNews) June 28, 2017
Due to high public demand tumeboresha Toboa bundle sasa ziko mbili— Waziri Kindamba (@wazirik) June 28, 2017
10GB internet data only kwa 1000 na
10GB + voice calls kwa 1500. pic.twitter.com/qBi5mGDBlB
Watu wawili wahofiwa kuuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo katika Kijiji cha Mangwi wilayani Kibiti. Polisi wanafuatilia- MWANANCHI pic.twitter.com/gwS8lVcEQN— Swahili Times (@swahilitimes) June 28, 2017
Makampuni mbalimbali duniani yamekumbwa na shambulio kutoka kwa wadukuzi ambao wanadai fedha ili kurejesha mfumo katika hali yake. pic.twitter.com/OZ0LVKsZzs— Swahili Times (@swahilitimes) June 28, 2017
Jamii imetakiwa kuzitumia simu za mkononi kulisaidia Jeshi la Polisi kubainisha watu wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu. #TanzaniaDAIMA.— millard ayo (@millardayo) June 28, 2017
Uingereza yatupwa nje michuano ya Ulaya U21 https://t.co/cDe4y0Rv7z— bbcswahili (@bbcswahili) June 28, 2017
Usiku wa kuamkia Leo watu 2 wameuwawa ( Mkt na mtendaji wa kijiji huko Rufiji. Eneo hili la #MKIRU ( Mkuranga, Kibiti na Rufiji ) mnafanyaje— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) June 28, 2017
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda ameitaka Serikali kuunda kikosi kitakachosaidia kumaliza mauaji Pwani. #Mwananchi.— millard ayo (@millardayo) June 28, 2017
Uongozi wa Kaunti ya Kajiado, Kenya umewaamuru Watanzania zaidi ya 500 wanaoishi kwenye mpaka wa Namanga kuondoka ktk eneo hilo. #Mtanzania.— millard ayo (@millardayo) June 28, 2017
Waziri Mkuu wa Ethiopia kuwatuma wataalam wa kuzalisha umeme nchini - https://t.co/8CSSdfSDKD pic.twitter.com/KmGKh7hTjo— bongo5.com (@bongofive) June 28, 2017
No comments:
Post a Comment