Magazeti ya Leo 18/07/2017: CHADEMA waja Tamko zito, wataka Wafadhili wasitishe misaada,.. TRA wamkana Ngeleja ESCROW; Siri yake 'kutema' mzigo yafichuka.. Pangua'Pangua yatikisa NEMC.. #share.. CCM wasema tunamtaka Lowasa Ulingoni 2020..

Mchungaji alieua ubatizoni atiwa mbaroni, Shibuda akemea wenye wivu kwa JPM, na Chama cha CUF chalilia kamata-kamata Viongozi wa CHADEMA.. Mwili wa Bi Linah Mwakyembe kuagwa leo.. 

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search