TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI.. IGP Sirro apangua Makamanda wake.. #share
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ya kiuongozi katika Mikoa ya Kinondoni na Shinyanga.
Tumekusogezea Taarifa Rasmi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kama tulivyoipokea..

No comments:
Post a Comment