bREAKING nEWS: Mbowe athibitisha kupigwa risasi kwa Lissu..Adai hali yake ni mbaya sana...#share
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema) Freeman
Mbowe amethibitisha kupigwa risasi kwa
Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Tundu Lissu akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma.
Amesema kwa sasa Lissu amepelekwa
katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatia matibabu huku akieleza
hali yake kuwa mbaya sana.
“Ni kweli amepigwa risasi akiwa
nyumbani kwake, na sasa yupo katika hospitali ya mkoa Dodoma, naomba uniache
kwa sasa,” amesema Mbowe akiongea na ITV mda mfupi uliopita.
Na Abraham Ntambara
Na Abraham Ntambara




No comments:
Post a Comment