CCM yampongeza Mbunge wake kwa kuwasaidia Chadema Ndege ya Lissu...#share
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) mwanachama wake na Mbunge wa Mpendae Salim Hassan Turky kwa kitendo chake cha utu, upendo na imani cha kutoa msaada wa ndege uliokuwa ukihitajika haraka ili kumsafirisha Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu kwenda Nairobi Kenya Kwa matibabu


No comments:
Post a Comment