UPDATES: Lissu amesafirishwa kwa ndege maalumu kuelekea Nairobi, Kenya kwa matibabu zaidi..#share
MBUNGE wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amaesafirishwa kuelekea Nairobi Nchini Kenya kwa ajili ya matibabu zaidi.
Ndege Iliyombeba Tundu lissu kuelekea Nairobi Nchini Kena ikitokea mjini Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi.
Lissu alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Dodoma baada ya kupigwa kwa risasi na watu wasiojulikana.
Taarifa zinaeleza kuwa hadi sasa anaendelea vizuri.
Na Mwandishi Wetu





No comments:
Post a Comment