Wajumbe wa Kamati Maalumu ya Makinikia wa Tanzania na Kampuni ya Barrick Gold Corporation wakiwa katika majadiliano...#share
WAJUMBE wa kamati Maalum iliyoundwa
na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiendelea
na majadiliano na timu kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation leo Septemba
7, 2017 kuhusu madai ya Tanzania juu ya upotevu wa fedha nyingi katika biashara
ya madini ya dhahabu inayofanywa na kampuni hiyo hapa nchini. Majadiliano hayo
yanafanyika jijini Dar es salaam.




No comments:
Post a Comment