UPDATES: Ona Mwonekano halisi wa gari la Lissu likiwa limechakazwa kwa risasi takribani 20..#share
MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) leo mapema mchana amepigwa risasi kadhaa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari nyumbani kwake mjini Dodoma.

Na huu ndiyo mwonekano wa gari lake baada ya kupigwa risasi likionekana likiwa na matundu matundu ya risasi.
Na Mwandishi Wetu




No comments:
Post a Comment