Magazeti ya Leo 21/10/2017: Wasichana 'watikisa' Matokeo Darasa la Saba.. Mke wa Tundu Lissu 'ateka kijiji' Mgao wa Bilioni 700 Barrick waruka kimanga; Waziri Kabudi atoa ufafanuzi,.. Kashfa yaibuka ununuzi magari ya washa washa,.. Ushahidi kesi ya Lulu vs Kanumba washika kasi Mahakamani, mke wa Bilionea Msuya bado gumzo Mahakamani,.. Uhamiaji waanza kumsaka Mrundi wa Simba, Mikikati ya Kocha mpya wa Simba kuivuruga Yanga,.. #share


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search