BODI ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeidhinisha gawio la sh. bilioni 300 kwa serikali kutokana na faida iliyopata kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment