Diallo ambwaga Meck Sadick uenyekiti CCM Mwanza...soma habari kamili na matukio360..#share
Na mwandishi wetu
ANTHONY Mwandu Diallo ametetea tena kiti chake cha uenyekiti wa CCM mkoani Mwanza kwa kumshinda mshindani wake aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick.
Anthony Diallo
Katika uchaguzi uliofanyika hii leo jijini Mwanza Diallo ameshinda kwa kupata jumla ya kura 555 dhidi ya Sadick ambaye pia kabla ya kustaafu alikuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyepata kura 520.
No comments:
Post a Comment