Na mwandishi wetu, Siha
DIWANI wa kata ya Gararagua wilayani Siha (Chadema), Zakaria Lukumay amejiuzulu nafasi yake hiyo na kujivua uanachama wa chama hicho.
Lukumay ambae pia alikuwa mwenyekiti wa Chadema wilayani humo ametangaza uamuzi wake kupitia waraka aliyouandika na kuhusaini.
No comments:
Post a Comment