Freeman Mbowe atingishwa...soma habari kamili na matukio360...#share
Na mwandishi wetu
Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Hai, Mohamed Msalu hii leo amejivua uanachama na kujiunga na CCM.
Kiongozi huyo alikuwa katika moja ya ng'ome ya Chadema ambayo mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe ndiye mbunge wa jimbo la Hai.
Pia aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Bumbuli mkoani Tanga kwa Chadema, David Chanyeghea nae amejiunga CCM

About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment