Kate Kamba mwenyekiti mpya CCM Dar.. soma habari kamili na matukio360.. #share
Na mwandishi wetu
Msimamizi wa Uchaguzi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi
amemtangaza Mwenyeki mpya wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Kate Sylvia Kamba baada ya kuibuka kidedea kwa kura 443, katika zoezi la upigaji kura lililomalizika leo Jumamosi wakati wa Mkutano mkuu wa CCM wa mkoa huo.
Waziri mkuu mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza na mwenyekiti mpya wa CCM Dar es Salaam, Kate Kamba
Akiongea baada ya kutangaza matokeo hayo, Lukuvi amesema wengine wamegombea kwenye nafasi ya Halmashauri Kuu ya Mkoa kutoka wilaya ya Ilala na kuwataja kuwa ni Abdallah Othmani amepata kura 182 na Mashaka Nyadhi kura 215, wilaya ya Temeke ameshinda Msagati Omary 242 naMaulid Ramadhani 207.
Wengine kutoka wilaya ya kigamboni Hawa Sangi amepata kura 435 na Moses Mtengu ni 435 na wilaya na wilaya ya Ubungo ameshinda Paul Sigoli 124 na Issa mtemvu 343 na wilaya ya Kinondoni ameshinda Iddi Azzan ameshinda kura 275 na Rashid Mohamedi kura 176.
Waliogombea nafasi ya Halmashauri Kuu ya Taifa anayewakilisha mkoa wa Dar es Salaam ameshinda Yusuph Nassoro amepata kura 245.
Lukuvi amesema ushindi walioupata katika chaguzi ndogo za madiwani ni kuonyesha kwamba wananchi wameikubali CCM na kuwataka viongozi hao kufanya kazi kwa uadilifu kutatua kero za wananchi ili waweze kupata ushindi mkubwa wa mwaka 2020.
"Nimewapongeza viongozi wote waliochagulia kushika nafasi za udiwani katika kata 42 pamoja na viongozi waliochaguliwa nafasi mbalimbali ndani ya CCM, amesema Lukuvi
Mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Dar es Salaam,Kate Kamba amesema chama kina bahati kina mizizi katika jumuiya ambapo tuna wakulima,wafanyakazi ambao hawana chama hivyo aliwataka viongozi hao kushirikiana iliushindi mkubwa upatikane mwaka 2020.

No comments:
Post a Comment