IGP Sirro awataka polisi kuwa 'nga'ng'ari'...soma habari kamili na matukio360..#share
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro
akiaga vingozi wa Jeshi la Polisi mkoani Tabora baada ya kumaliza ziara yake ya
kikazi ya siku mbili mkoani humo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro
(katikati) kushoto kwake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora SACP, Willprod
Mtafugwa wakiwa katika picha ya pamoja na kikosi cha kupambana wahalifu
Mkoa wa Tabora.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro
katikati akiwa katika picha ya pamoja na Askari wa kike wa Jeshi la Polisi
kikosi cha kupambana na uhalifu Mkoa wa Tabora.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu kutoka kushoto
akiangalia mmoja wa askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika mazoezi ya
utayari kupita juu ya kamba mkoani Tabora jana.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu toka kulia jana
asubuhi alishiriki mazoezi ya utayari na kuwatia hamasa Askari wa
Mkoa wa Tabora, katika ziara yake ya siku moja mkoani humo, hatua hiyo ni
kutokana na kuwataka askari wa Jeshi la Polisi kuwa na utayari wakati wote .
Picha na Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment