Magazeti ya Leo 04/12/2017: Soma magazeti na matukio360.. #share
MAAJABU: Mtoto wa kike wa miaka 7 DAR agundulika wa kiume.. Muhimbili yaendeleza Historia: MOI yafanya upasuaji wa kwanza wa Ubongo.. Nyuma ya pazia Mbunge mwengine CUF aachia ngazi.. Joshua Nassari amzika mbwa wake kwa heshima zote.. Dkt. Kigwangala afichua mapya shehena ya magogo.. Mwanafunzi Moshi azikwa upya..
Mo Dewji aanika mikakati mizito Simba.. sasa kusajili mchezaji yoyote Africa.. Yanga wajibu mapigo kisomi.. na kichapo chamvuruga Wenger aishukia safu yake ya ulinzi..
No comments:
Post a Comment