Magazeti ya Leo 13/12/2017: Soma magazeti na matukio360.. #share
JPM atangaza 'kiama' kwa wavaao nusu uchi.. ambana kigogo Jumuiya ya wazazi.. Kinana afuta mchujo wa Ubunge jimboni kwa Nyalandu.. Mbowe asema NEC inatukwepa.. baada ya kuhojiwa Uhamiaji; Askofu afanya maombi.. Yanga kukwaana na TP Mazembe.. Kwasi apewa jezi Simba..
No comments:
Post a Comment