Magufuli asaini 61 kutonyongwa, Magereza wazalisha viatu vya askari wake, ...soma habari kamili na matukio360...#share

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
RAIS John Magufuli leo ametia saini nyaraka za msamaha alioutoa jana kwa wafungwa 61 waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa.
Pia jeshi la Magereza limeanza kutengeneza na kuzalisha viatu kwa ajili ya askari wake badala ya kuagiza kutoka nje ya nchi.
Kufuatia hatua hiyo rais Magufuli amelipongeza . Jeshi hilo linazalisha jozi 150 za viatu kwa siku katika kiwanda chake cha Karanga kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.
Jeshi hilo linashirikiana na na mfuko wa hifadhi wa jamii wa PPF kwa lengo la kukiboresha kiwanda hicho ili kufikia uzalishaji wa jozi 450 kwa siku.
Rais John Magufuli leo ametia saini nyaraka za msamaha alioutoa jana kwa wafungwa 61 waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa.
No comments:
Post a Comment