Mahakama Kuu yampiga 'stop' Lipumba na wenzake.....soma habari kamili na matukio360...#share

Na mwandishi wetu, Dar es salaam

MAHAKAMA Kuu imeipiga marufuku bodi ya wadhamini ya Prof Ibrahim Lipumba kufanya shughuli zozote zinazoihusu chama cha CUF hadi hapo shauri la msingi litakapomalizika.
I
Profesa Ibrahim Lipumba, kushoto na Maalim Seif Sharif (kulia)

Uamuzi huo umetolewa leo jijini Dar es salaam na jaji wa mahakama hiyo, Wilfred Dyansobera.

Katika shauri la msingi lililowasilishwa na CUF ya Maalim Seif ilitaka bodi hiyo isitambuliwe kwa kuwa si halali na kwamba bodi halali ya chama hicho ipo na ilipatikana na kwa mujibu wa katiba ya CUf

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search