Rais Magufuli 'ateta' na mawaziri ..soma habari kamili na matukio360..#share
Na mwandishi wetu
RAIS John Magufuli leo ameongoza baraza la mawaziri. Kikao cha baraza hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam

Rais John Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawari Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais John Magufuli akiwa
na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bella Bird aliyekutana na
kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais John Magufuli akimsindikiza Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
dunia nchini Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini
Dar es salaam.
Rais John Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
dunia nchini Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini
Dar es salaam.
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment