Gavana Benno Ndulu aaga rasmi...soma habari kamili na matukio360...#share
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
GAVANA wa Benki Kuu (BoT) Profesa Benno Ndulu leo amekutana na rais John Magufuli kumuaga rasmi.
Rais John Magufuli akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam
Profesa Ndulu anastaafu baada ya kuitumikia BoT kwa miaka 10.
No comments:
Post a Comment