Magufuli: Bilioni 200 kulipa madeni ya ndani...soma habari kamili na matukio360...#share

Na mwandishi wetu, Dar es salaam

RAIS John Magufuli amesema mwezi February, 2018 serikali itaanza kulipa madeni ya ndani yaliyohakikiwa na kwamba  bilioni 200 zimetengwa kwa ajili hiyo.

Rais John Magufuli

"Nimepanga kuanzia mwezi ujao, kwa wale wenye madeni ya ndani yaliyohakikiwa watalipwa madeni yao. Nimetenga sh bilioni 200 kulipa," amesema rais Magufuli leo jijini Dar es salaam       
Amesema watakao lipwa ni watoa huduma waaminifu wa ndani ya nchi pekee.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search